Wednesday, 8 October 2014

Wameona massage ya binadamu haitoshi sasa wameleta hii ya Nyoka. (Picha 4)..bofya hapa kuziona


Ukisikia maajabu makubwa ambayo hufikirii kukutana nayo hapa duniani hii ni moja wapo, Kuna mbuga moja ya kufugia nyoka wakubwa inatoa huduma ya “massage” kwa binadamu kwa kutumia nyoka hao “giant pythons” lakini kabla ya kuanza zoezi hilo nyoka hao hulishwa kuku ambao idadi yao hufikia 10 ili wasije kusikia njaa katikati ya shughuli hiyo.

Monday, 29 September 2014

Mshambuliaji kutoka nchini Uingereza na klabu ya Man Utd, Wayne Mark Rooney amewataka radhi wachezaji wenzake kufuatia adhabu ya kadi nyekundu iliyomuangukia mwishoni mwa juma wakati wa mchezo wa ligi dhidi ya West Ham Utd kwenye uwanja wa Old Trafford.

Saturday, 21 June 2014

RAHATUPU

Ama kweli tembea uione Tanzania ilivyojaaliwa.

Ni rahatuuupu unapokuwa juu ya milima mizuri ya uluguru unaona mandhari nzuuri za kuvutia
morostreet

Friday, 20 June 2014

Karibuni

Wadau wangu pande zote za tanzania karibuni katika blog yenu pendwa niliyoianzisha kwa ajili ya kuelimishana kufurahishana kuonyana na kukosoana.